Primary links
- HOME
- NEWS
- OP-EDS/BLOGS
- HOT TOPICS
- ANNOUNCEMENTS
- LIVE TV
- MUSIC
- MUSIC VIDEOS
- NEWS VIDEOS
- DIASPORA VIDEOS
A 74-year-old Kenyan man was involved in a car accident in Hollywood, California on August 29 that killed a mother and her two young daughters. Police say Solomon Mathenge, of Lawndale, California was driving his 2004 Infiniti SUV the wrong way, heading north on Highland Avenue at the intersection of Willoughby Avenue when he veered into oncoming traffic and hit a Dodge minivan carrying a 27-year-old mother and her two daughters, aged 6 and 4 years.
The mother and one of her daughters died on the spot, with the second daughter passing away a short time later at an area hospital. The accident also sent Mathenge to the hospital in critical condition.
Investigators say Mathenge was texting on his phone at the time of the accident, and do not believe alcohol or drugs played a part in the crash. They also say that at the time of the accident Mathenge was driving on an expired driver’s license. The license was also suspended license after he failed to show up in court on a traffic citation.
Wajameni !!! WaKenya tufungue macho? Any time a kenyan is named on such incident it carries a lot on us.
Ukweli ukisemwa, watu wanaanza kununa nuna na kuwakashifu wanaotongoa yanayotukabiri hasa sisi Wakenya hapa Marekani. Walionena kuwa " mbio za sakafuni huishia ukingoni," nafikiri hawakukosea kamwe. Kinachobainika wazi wazi ni kwamba asilimia inayozidi themanini na watano ya Wakenya waishio ughaibuni wamekwama, hawaendelei, hawasongi mbele wala nyuma: wamekaa ti ti ti wasijui lakufanya lakutenda.
Maisha hapa Marekani yanatulazimisha sisi Wageni kuwa na kazi, gari, mahala pa kuishi, uwe na nguvu za umeme, simu, maji ya mfereji, kuosha nguo ukitumia mashini, kula vyakula vinavyotayarishwa kwa kasi kasi, kuwa na akaunti ya benki, kulipa kodi, kutoanzisha tubiashara twa kando kando ili kujumu na kujipatia mapato ya ziada, kuwapeleka wanao kwa vyumba vya yaya, na kadharika.
Haya yote yanakuacha umeyatumia mapato yako yote unayoyapata kama ajira kiasi kwamba kuongea tena kuhusu, eti " kidogo kidogo hujaza kibaba," hayo yote yanakuwa ni ng'ano tu. Miaka baada ya nyingine inaendelea kujirundika pole pole na unapogeuka na kutazama nyuma, ewalla! Miaka mitani, kumi, kumi na mitano, ishirini, ishirini na mitano yameshapita. Kesha unagundua kwamba kwa miaka hio yote, hakuna chochote ambacho umefanya nyumbani Kenya. Unagundua kwamba katika Jamhuri, udhanipo kurudi, huna chochote cha kuwaonyesha uliowaacha nyuma. Unagundua kwamba miaka hio yote umekuwa mtumwa katika nchi ya kigeni, huku ukiistawisha nchi yao kwa kutumia mapato yako yote. Na unaanza kuwashutumu na kuwatania Wafrika Weusi eti kwamba hawapendi kufanya kazi. Unanunua nyumba lakini LO! Bei tayari kaporomoka. Unanunua gari lakini tena kazi ni shida kupata. Unajirimbikiza na deni katika kadi ya plastiki lakini Lo! Hailipiki haibwagiki! Uchumi umeshagonga mwamba. Unapoteza fahamu, usingizi hupati wa kutosha. Huli vyakula vinavyofaa mwilini. Hupumzishi mwili kama ipasavyo. Siku tatu, nne, tano hujawaona wanao au familia. Kazi ni kukimbizana na masaa, madabo dabo. Diposa umekwama. Diposa nimekwama. Diposa tumekwama.
Mara unawekwa baroni kwa kunywa mvinyo kupindukia. Mara unasababisha ajali barabarani. Mara unajiingiza na tabia ya uvunjaji sheria katika nchi hii. Mara unapatwa na janga ambalo linakulazimisha kufikiri kurudi nyumbani. Lakini miaka tena keshapita.....Ulifika hapa ukiwa na miaka ishirini na mitano. Ongeza mitano, kumi, kumi na mitano na kadharika.
Kwa Solomon Mathenge, kwangu namtakia mema anapokabiliana na janga lililompata. Ni wakati mwafaka kwa sisi sote kujifunza na yale yanayowakumba wenzetu ili kufikiria na kujipanga namna tunavyoweza kutumia mapato tuyapatayo hapa kujiwekea akiba nyumbani kwa kununua ploti, kununua nyumba au kujijengea moja, kununua shamba au kuanzisha mikakati ya pamoja yatakayo kufaidi wewe na jamaa yake siku sijazo. Kuketi pwee bila kufanya lolote....... Ni lazima niwe hapa? Ni lazima tuwe hapa? Liwaze hilo na uliwazue Mkenya mwenzangu. Kwani iwe Mashariki na Magharibi, nyumbani kwetu ni Kenya. Kenya tuipendayo kwa dhati. HIVYO NDIVYO ILIVYO. Natuombe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Follow us on Twitter @mwakilishi.
By Regina Njogu, Esq. - The bill's name is IRWAFA, which stands for Immigration Reform that Works for America’s Future Act. The bill has credibility because it is a bipartisan initiative and has the support of the White House as...
By Mary Kinuthia - For the young people out there, God gave us an opportunity to live in this country, Let us possess it and exploit our potential!!!
Many people know me as Karey. (Karey Kinuthia) I’m only sharing my story to enco...
Beginning Wednesday May 1, entrants from the 2012 diversity visa (green card) lottery can check on-line at the U.S. State Department’s “Electronic Diversity Visa” Entrant Status Check (ESC) web site to see if they won.
Applicants need t...
If you have studied or are currently pursuing studies in Western countries, you have probably experienced some dim view about Africa, thanks largely to western media.
A Kenyan student studying at the Washington and Lee University in the...
Aggregated Feeds