Video: The Invisible Bridge Part 1

Printer-friendly versionPDF version

Did you know that four out of ten gay men in Kenya were once married, most with children and one quarter of that are still married with children but continue to be homosexual?

It's an uncomfortable subject to discuss and even more uncomfortable to put in pictures. K24 TV Presents…

Topister's picture
Topister

Kudos to my boys ...they finally had the courage to speak on camera! Biko and mama G am proud of you....to women who think they are staying with saints as husbands ......the writing is on the wall.

Topister's picture
Mtulivu

Tulipowashuhudia, katika vyombo vya habari, Wakenya wwawili wanaume waishio Uingereza wakifunga pingu za maisha kanisani, sote tulijawa na hamaki, ghadhabu, lawamana shutuma kwao na wazazi wao eti hawakupata malezi mema. Mara tena tukayasoma yaliowashangasha wengi kuwa wasichana wa shule za upili walipatikana wakifanya mapenzi na wasichana wenzio mumo humo katika mabweni ya shule. Baadaye, Chama kinachowatetea wapenzi wenye jinsia moja kikajitokeza kuomba serikali iwatambue. Majuzi Bw Kuria Mbote akajitambua kama mshoga na isitoshe, akatangaza matumaini yake ya kugombea uongozi katika Kaunti ya Kiambu.

Mwishowe, kanda hii ya filamu ikalipua mengi na ukweli unaojitokeza wazi kwamba, wakati umewadia, wakati umeibuka, wa MJADALA kuhusu USHOGA ujadiliwe na utafutiwe suluhisho la kudumu. Kwamba wazee wa vijiji na viongozi wa kidini wana jukumu la kuwasaidia wenzetu hawa ambao mwelekeo wao ni kinyume cha maumbile ya Mwenyezi Mungu, ni dhambi na wanakiuka amri za Mwenza yote.

Wakati ambapo ushoga ulisikika na kuripotiwa miji mikubwa hasa Mombasa, Malindi, lamu na kwingineko ambako watalii hutembelea sasa tena sio hivyo. Ushoga umetapakaa na umo mumo humo vijijini. Na inawahusu watoto wetu,ndugu na dada zetu, na wanaume ambao wameoa. Cha kushangaza ni kwamba muigo huu ambao asili yake ni nchi za Ulaya ikiwemo Marekani na Uingereza, nchi kadhaa za Uropa na hata Marekani ya Kusini, ni sharti ukomeshwa nchini Kenya kabla hujawaadhiri vijana zaidi.

Mjadala au jopo la watalaam latakiwa kuanzishwa na Wizara ya Jamii na tamaduni ikishirikiana na madhehebu yote nchini ili kujaribu kutafuta kiini hasa cha ushoga kati ya wenzetu hawa. Upekuaji pekuaji huo wakiini chake utakuwa ndiyo somo huria na mintarafu maridhawa ambayo itakomesha fikra kama hizi kuenea zaidi.

Mwanaume kujirembesha na kujipamba kaa mwanamke  kwa kutumia vipodozi ni haki, ni halali? Mwanaume kutembea kwa mwendo taratibu wa kinyonga huku mikono na vidole viaka vikining'inia hewani ni sawa. Mwanamme kuwa na uso mwororo uliopakwa rangi midomoni na makopeni ni ajabu? Uvaaji wa hereni, bangili na makorokoro mengine masikioni ni maendeleo? Litafakari hilo mwenzangu! Anapotoga sikio lake moja tu na kulivisha hereni inamaanisha nini kwa sisi tusiojua? Je, anafanya hivyo kupitia kwa msonga rika ili afanane nao, au ni kutafuta aina mpia ya mazoea? Ushoga unayaashiria mambo gani mwishowe? Mwanaume ataweza kukuzalia watoto kweli? Kila mja ana haki ya kutenda lolote apendalo wakati apendao. Hapo sikatai. Mjadala kama huu bila shaka utaleta changamoto, migongano, mmenyano, mg"eng'ano wa mawazo mitandoni na serikaini. Tuuanze sasa. Tuusuluhishe sasa.

Post new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.
CAPTCHA
This question is for testing whether you are a human visitor and to prevent automated spam submissions to Mwakilishi.com.
Image CAPTCHA
Enter the characters shown in the image.

Follow us on Twitter @mwakilishi.

Featured Article

By Regina Njogu, Esq. - The bill's name is IRWAFA, which stands for Immigration Reform that Works for America’s Future Act. The bill has credibility because it is a bipartisan initiative and has the support of the White House as...

4587 reads

Featured Article

By Mary Kinuthia - For the young people out there, God gave us an opportunity to live in this country, Let us possess it and exploit our potential!!!

Many people know me as Karey. (Karey Kinuthia)  I’m only sharing my story to enco...

2051 reads

Featured Article

Beginning Wednesday May 1, entrants from the 2012 diversity visa (green card) lottery can check on-line at the U.S. State Department’s “Electronic Diversity Visa” Entrant Status Check (ESC) web site to see if they won.

Applicants need t...

5139 reads

Featured Article

If you have studied or are currently pursuing studies in Western countries, you have probably experienced some dim view about Africa, thanks largely to western media.

A Kenyan student studying at the Washington and Lee University in the...

1719 reads

SYNDICATED NEWS FEEDS

Aggregated Feeds