Primary links
- HOME
- NEWS
- OP-EDS/BLOGS
- HOT TOPICS
- ANNOUNCEMENTS
- LIVE TV
- MUSIC
- MUSIC VIDEOS
- NEWS VIDEOS
- DIASPORA VIDEOS
Kenyan Members of Parliament are now free to party hop until January after they finally passed the elections amendment bill deleting a provision which barred politicians to party hop three months to the date of submission of party lists to the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) set for January 17th.
Video Courtesy of K24TV.
Jana ilikuwa tu kati ya hila wanazoendelea kutufanyia katika kubadilisha ibara za Katiba yetu mpya kutosheleza mahitaji yao, kwa binafsi zao, na ulafi wao. Shukran kwa mbunge mpya ywa chama cha ODM na wenzake watatu walio dhubutu kupinga nyendo hizo, zilizofanywa usiku wa manane, kama wao tayari wamelala.
Bunge letu limevamiwa na wanabiashara na wahalifu waliojitosa bungeni sio kwa lengo la kututumikia, bali kutumikiwa, kuendeleza na kulinda biashara na uhalifu waliotenda awali, yote haya kwa nguvu walizonazo za kisiasa. Wengi wao katu hawathamini uhai wa umma, mishahara mizuri ya wafanyazi, kuanzisha miundombinu kama za kujenga na kuzikarabati barabara zetu, kujenga zahanati za kuwahudumia mama wazito na watoto wao ambao wanafariki kutokana na magonjwa yanayoweza kuepukwa, kuwapunguzia wakulima ukali wa maisha, kujenga mashaule mazuru na maabara vijijini.
La! Wanafikiri sio lazima kuonyesha kwamba wanawajali wapiga kura. La! Diposa hawaheshimiwi. Wanataka ZAIDI NA ZAIDI NA ZAIDI. Huku watano kati ya Wakenya sita, hawana uhakika wa mlo wa siku; na mmoja kati ya watatu, hawapati mahitaji muhimu ya kuendeleza maisha. Zaidi ya asilimia sitini hawana uhakika wa huduma za afya: wamegeukia tiba ya waganga wa jadi. hwapati maji masafi na salama: jasho la mwili ndio maji yao ya kunawa. Walilia mkia wa mbuzi, sasa wanaukimbilia mkia wa kondoo. Huku vigogo wetu Rais Kibaki na Raila wanawatazama tu. Huku Willy Mutunga anawatazama tu wakati wanaendelea kuchapa chapa, kuipindua pindua na kuihujumu katiba yetu.
Ewe Mungu tusaidie kutoka kwa uongozi huu uliojawa ufidhuli na utatanishi mwingi. Nchi yetu imevamiwa na wataaluma walioanzisha taaluma zao kukimbilia vinono wakati wapendavyo. Kumbukeni wengi wao walikuwa wasomi na wakufunzi katika vyuo vya taifa. Kumbkeni wengi walikuwa katika chama tawala cha KANU. Eeeeeeeeeeeeeeeeeh! Kumbe mwawajua? Natuombe! Ewe...........
Follow us on Twitter @mwakilishi.
Kenyans in Baltimore, Maryland celebrated Madaraka Day at an event held on Saturday, June 8th, 2013.
Students of ELIMU Tutoring and Training danced to the Najivunia Kuwa MKenya song as part of the celebrations.
Buying land should not be such a hassle, especially when you go through the required legal processes. It is important to note that it is only through the right legal procedures that your right as a purchaser will be safeguarded.
...
Beginning Wednesday May 1, entrants from the 2012 diversity visa (green card) lottery can check on-line at the U.S. State Department’s “Electronic Diversity Visa” Entrant Status Check (ESC) web site to see if they won.
Applicants need t...
Worcester MA., The Kenyan community in Massachusetts has once more shown it’s determination to be at the top. Elaine Wawira graduated from Worcester Technical High School at the top of her class (of 300 graduates) with a 3.9 GPA marking her the cl...
Aggregated Feeds
Facebook Comments Box