Former President Moi Ordered to Pay Sh1 Billion to Widow for Grabbing Her Land

Former President Moi Ordered to Pay Sh1 Billion to Widow for Grabbing Her Land

An Eldoret court has ordered former President Daniel Arap Moi to pay an 81-year-old woman and her son Sh1.06 billion for grabbing their land.

The ruling was made on Thursday by Lands and Employment Court Judge Antony Ombwayo in a case where Susan Cheburet Chelugui and her son David Chelugui sued Moi for illegally taking away their land.

"…Acquisition of the said properties by the 1st and 2nd respondents were arbitrary unconstitutional, irregular, procedural, tainted, a nullity ab initio and therefore not worthy of any constitutional protection,” the judge has ruled.

Susan and her son asked the court to compel Moi to return a 53-acre piece of land located in Eldoret Municipality.

Susan said Moi transferred the family land to himself on March 2nd, 2007; two years after the death of her husband, Noah Chelugui. Noah Chelugui served as chief during Moi’s administration.

The judge has noted that the amount is a commensurate compensation to the petitioners for the loss of their property through an unprocedural scheme.

“The 1st and 2nd respondents do pay and are hereby ordered to pay the estate of the Late Noah K. Chelugui the prompt payment in full of just and current market value of the said properties….,” adds the judge.

The ruling comes weeks after the same judge ordered Moi and the late Cabinet Minister Nicholas Biwott to return five irregularly acquired parcels of land in Eldoret Town.

Justice Ombwayo ruled that the five plots were public property.

 

Comments

Imara Daima (not verified)     Fri, 05/17/2019 @ 01:21pm

Huyu Ndugu yetu mkristo Mzee Toroitich kama angalikuwa Korea, angalikuwa jela sasa. Hii inaonyesha ya kwamba nchi ya Kenya haina mahakama ambayo inafanya kazi.

Mwakumbuka Ndugu yetu mkristo Ruto aliiba shamba la Muteshi na sasa yeye ni naibu wa rais. isitoshe, anafikiria kuwa rais wa nchi ya kenya 2022@!@!

Ni lazima WAFULA CHEBUKATI aondolewe kwenye tume ya IEBC mara moja na kumchagua mtu mwingine ambaye anajua ya kwamba, Kenya ina katiba mpya na afuate maagizo yaliyoandikwa kwenye Sura (chapter) ya sita.

Mugikuyu (not verified)     Fri, 05/17/2019 @ 01:23pm

Besides grabbing headmistresses kutoka kwa mabwana, this man grabbed everything from tax payers money, forests, land from widows and everyone else who was perceived to be a threat. He took corruption to another level with his idiocy and it is shocking to see leaders including Raila whose makendes he squeezed now and then during detention bowing to him. He killed many many people. We have not even began to unearth all that he did.

Mbwana (not verified)     Fri, 05/17/2019 @ 01:25pm

Mzee kaburu Moi kuwa mfano bora kwa KUFATAA NYAYO ZA HAKI - leo umeelewa kuwa Haki haizami.

One of the protected big fish who needs a detailed lifestyle audit together with his close associates.

Anonymous UI (not verified)     Fri, 05/17/2019 @ 02:18pm

Kenyan's, adhere to God's law. Time to enforce God's commandments in Kenya and in Africa as a whole.!!!

MjuAji (not verified)     Fri, 05/17/2019 @ 04:39pm

Tenda wema leo ili wewe na wajukuu na vitukuu vyako washerehekee siku za usoni. Moi ni mmoja wapo wa viongozi wa Afrika ambao wanatarajiwa kuwekwa kikaangoni miaka kumi ilopita. Madhara ambayo Moi na mwanae Gideoni wameitendea nchi ya Kenya ni Mungu mwenyewe atakaye mnusuru. Dhambi ambazo aliitendea Jamhuri ya Kenya na wananchi wake, hakika matungu matupu. Jinsi alivyowanyakua wake za watu waliokuwa walimu wakuu wa shule za wasichana kutoka sehemu zote nchini, Maulana ndiye atakaye mnusuru yeye. Kwa mfano, Moi alikuwa mgeni wa mara kwa mara katika shule ya wasichana ya Nyakiambi kati ya miaka ya 80-85. Matokeo yake ikawa ni kiongozi mmoja Kaunti ambaye anafahamika sana kule ninakotoka: sura ile ile...urefu huo huo. Moi alinyakua chochote kilichoweza kunyakuliwa, huku akisaidia na genge la "ooooh KANU yajenga nchi" yakiongozwa na Biwott, Bargentuny, Salat, Kamotho, Chotara, Shariff Nassir, GG, Mathenge, Ntimama, Tipis, Kaa Ngumu kama Ngumo, Angaine, Kamangara, Kibor, Gideon Moi, Mulu Mutisya, Kalonzo na wengine wengi ambao " walitigisa gitole" huku mamillioni ya Wakenya wakimondwa mondwa na umaskini uliokidhiri mashavu. Mashamba yote ya ADC kama vile Nyota Farm(Nakuru), ADC Mutaita, ADC Dabibi(Naivasha), na mengineo ambayo yalikuwa vituo vya utafiti wa mifugo na nafaka kama mahindi na ngano, yote yalitokomezwa. Ni bayana sas kwamba dhambi walizotendea mali ya umma, hata kama itachukua miaka mia moja ya utawala wa KANU, yote yatarudishiwa Wakenya. Watazame jinsi walivyolindwa na serikali zilizofuatwa, huku Kibaki na Raila (2002) wakiwahadaa Wakenya kwamba mali yote ilioibiwa na serikali ya KANU itarejeshewa kwa Wakenya. Ni kana kwamba SIKU YA KIAMA INAANZA KUBISHA MLANGO. Mwenyezi anapokutendea haki, hata miongo na karne ngapi zipite, malipo utayapata papa hapa.

Imara Daima (not verified)     Fri, 05/17/2019 @ 06:17pm

Ndugu @MjuAji:

Nakuvulia kofia ya tarbushi kwa kutuangazia mengi yaliyotendeka wakati wa utawala wa mzee mkristo profesa wa elimu ya siasa (political science) Dr. Toroitich Kipkorios Arap Moi.

Kama nilivyosema hapo awali, Kenya haina mahakama inayofanya kazi ipasavyo. mzee Toroitich sasa angekuwa amewekwa katika chumba cha miti tatu kila pembe na ndoo ya kuweka kinyesi chake kwa maisha yake yote.

Nina imani ya kwamba, Wakenya wakipiga kura 2022 huku wakitumia akili waliyopewa na MWUMBAJI MKUU na kuwachagua viongozi wote wapya, historia ya Kenya itaandikwa tena upya. Wajukuu wangu wataweza kusoma na kujua yote yaliyotendeka tangu Pio Gama Pinto auawe mpaka Hayati Msando na Jacob Juma.

Leo nimehuzunika sana kumwona Ndugu yetu Khalwale wa kutoka Kakamega akijiunga na mkrito Ruto kwenye chama chake cha Jubilee. mkristo Ruto si naibu wa rais tu, yeye ni generali mkuu wa matapeli na mtoaji hongo mkubwa makanisani na misikitini katika nchi yetu.

Nimefikiria sana juu ya elimu ya asili ya Yuropa. Ikiwa dakitari khalwale anaweza kuyumbayumba kisiasa kiasi cha kujiunga na Jubilee na huku anasema amesoma, elimu kama hii ni bure kabisa.

Baada ya kuona tabia hii ya kitoto ya Khalwale, nimeamua kutosema ya kwamba, "nilihudhuria chuo kikuu" chochote katika maisha yangu. Mtu wa kawaida ni lazima ashangae kumwona Khalwale akijikunakuna hadharani mbele ya mkristo Ruto kama fisi mwenye upele (scabies). Sijui mkristo amemwahidi (promise) nini au amempa nini ili afanye kitendo kama hiki cha aibu mbele ya dunia nzima!

Add new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.

Plain text

  • No HTML tags allowed.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Web page addresses and email addresses turn into links automatically.
CAPTCHA
14 + 5 =
Solve this simple math problem and enter the result. E.g. for 1+3, enter 4.
This question is for testing whether or not you are a human visitor and to prevent automated spam submissions.