
- Add new comment
- 1440 views
Four suspects believed to be part of a gang that trails people exiting banks before stealing from them have been arrested on Thursday.
The four are identified as Josephine Wambui Kariuki,47, Peter Karigo Muchai, 40, Patrick Ndung’u Kinuthia, 29 and 28-year-old Hadija Karimi,
The Directorate of Criminal Investigations (DCI) says the four have been arrested in Kajiado County and has urged those who might have been robbed by the suspects to file a report at the nearest police station.
“A gang of four that has been waylaying people coming from banks and robbing them of their hard earned cash and other valuables were early today arrested in Kajiado County. Look at them keenly. If you’re a victim, kindly make a report at your nearest Police Station or @DCI_Kenya HQs,” DCI says in a tweet.
In another incident, detectives from the DCI have shot dead one suspected robber during a fire exchange in Nairobi's Kayole estate.
The DCI says the shooting happened after officers acting on a tip-off ambushed two suspects stealing from members of the public. One pistol and a round of ammunition was recovered.
"Detectives working on info, today afternoon approached a gang of 2armed men robbing members of the public in Kayole. They challenged them to stop & surrender but instead they fired at the officers. Detectives returned fire & fatally injured 1 gangster. A Pistol & 1 round Recovered."
"The other gangsters escaped but is being sought by detectives to face the full wrath of the law," DCI notes.
Comments
Imara Diana. If you want Majority of Mwakilishis to READ your Good intentions: Be Serving them in SMALL👌 Portions.
Hapo nimekubali nawe, atupatie in small doses. Wewe pia unafaa kumpuguza how many times unapost kwasababu saa zingine unasema zero, zilch, nada. Punguza dose pia. Tumeelewana?
My opinion; your opinion. And we're even. That's what Mwakilishi is all about. Or else it wouldn't be serving it's Humble purpose: Helping people think Straight.
Thank you.
This is Gender parity gone too far. Mothers sit down and Teach your Daughters manners to Leave by. Msichana Asiyefunzwa na Mama😩 atafunzwa na Dunia; Hivyo-hivyo Muvulana Asiyefunzwa na Baba.😧
@Guest1,@Anos, Mucang'ang'a: Waswahili husema, "Aisyesikia la mkuu mwisho huvunjika guu." Asanteni sana kwa kunikosoa kwa mawaidha yenu. Nimesikia na pia nawashukuru sana.
Ningependa Wakenya wote wakosoane kama vile @Guest1, @Anos, @Mucang'ang'a walivyonikosoa.
Edmund Burke (1729 - 1797) alisema:
"The only thing necessary for the triump of evil is for good "men" (people) to do nothing.
Ni lazima Wakenya wazuri wafanye kazi pamoja kupinga uovu popote ulipo mpaka tuikomboe nchi yetu kutokana na uhalifu uliopo sasa.
Naelewa. Asiyekubali kukosolewa si Mkosaji. So wote hukosea.😂
Matatizo tuliyonayo makubwa ni kujaribu kuishi maisha jinsi yalivyokuwa yapata miaka maelfu na maelufu iliyopita wakati biblia ilipoandikwa. Agano la Kale (Old testament) liliandikwa yapata miaka elfu mbili na mia sita iliyopita! Siku hizo Wayahudi walikuwa jangwani (desert) wakipanda ngamia na punda kama njia yao ya kusafiria. Agano Jipya (New Testament) liliandikwa tangu Mwana Mariamu afe, yapata miaka 1,900 iliyopita! Dunia imebadilika sana kwa hiyo huwezi kuishi maisha ya siku hizo wakati huu.
Ukisoma Mwanzo (Genesis) 22:17, inasema, " Mtazaana kama nyota zilizo mbinguni na pia kama mchanga (sand) ufuoni mwa bahari." Wanasema mungu wa Wayahudi ndiye aliyesema maneno haya.
Jamani, nyota hazili chakula wala kuvaa nguo. Mchanga wa baharini hauvai nguo, kula chakula, au kwenda shuleni! Nimesema mara nyingi ya kwamba, matatizo tuliyonayo makubwa ni kujaribu kuishi maisha ya watu wengine.
Idadi imezidi Kenya, hakuna mashamba ya kutosha kuzalisha chakula ambacho kinaweza akili tuliyopewa na MWUMBAJI ili tuyatatue matatizo tuliyo nayo yanayotokana na kutopanga maisha kulingana na hali jinsi ilivyo sasa.
Wanafunzi wanapomaliza chuo kikuu na hawawezi kupata kazi maisha yanakuwa magumu sana. Mimi sisemi ya kwamba waende kuvunja nyumba za watu au kungoja wananchi wanapotoka benki ili wawaibie pesa zao! Hasha! La! Ni lazima walio na pesa waanze kujenga viwanda vya kutoa ajira kwa mamilioni ya vijana wasio na kazi.
Kwa nini mkristo Ruto haanzi mara moja kujenga viwanda badala ya kwenda kanisani kutoa hongo kwa matapeli viongozi wa makanisa ili wafuasi kondoo (blind followers) wampigie kura 2022! Asipokatazwa kwenda makanisani kutoa hongo kila Jumapili, baada ya miaka minne hakuna Mkenya atakayeweza kumshinda kwenye uchaguzi. Ni lazima aonywe mara moja aache kutoa hongo ili awe rais wa Kenya 2022. Ni lazima aache kupeleka siasa makanisani mara moja.